Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)
Mitandao ya Jamii
SHUKRANI (APPRECIATION)
Napenda kuwashukuru wote mlioguswa kushirikiana na sisi katika huduma zetu kwa jamii katika mwaka 2025. Mpo ambao mmeahidi kuchangia sadaka ya upendo ili kutegemeza huduma tunazotoa kwa jamii kila mwezi. Lakini pia mpo mlioahidi kuchangia raslimali zingine kulingana na upatikanaji wenu kv muda wenu, ujuzi wenu, uzoefu wenu nk. Tumetiwa moyo kuona kwamba ingawa baadhi yenu tumefahamiana mtandaoni tu mmetambua uzito wa huduma hii ambayo inawafikia watu bure bila kuwatoza chochote. Hamkujali umbali wala tofauti za kidini. Mungu mwenyewe atawalipa kwa moyo huo wa utoaji.
Unauthorized use and/or duplication of this material without express and written permission from this site’s author and owner is strictly prohibited.
Excerpts and links may be used, provided that full and clear credits is given to Lawi Mshana and www.lawimshana.com with appropriate and specific direction to the original content.
3 Comments
Barikiwa kwa maono mazuri
ReplyDeleteHakuna lisilowezekana kwa Mungu
ReplyDeleteMungu atuwezeshe tujitoe kwa ajili ya jamii
ReplyDeleteKaribu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)