Ticker

6/recent/ticker-posts

Let's stay motivated to donate our second-hand goods to the community (Tuendelee kuhamasika kutoa mitumba tuliyo nayo kwa ajili ya jamii)

 

Let's stay motivated to donate our second-hand goods to the community

(Tuendelee kuhamasika kutoa mitumba tuliyo nayo kwa ajili ya jamii)

Today, we received couch cushions again for our community service.

Seeing that your unused items are helping the community is a great blessing.

Even Tanzanians can support their community without being dependent on foreign aid.

We welcome you to donate whatever you have for our programs for the community, such as a car, computer, furniture, clothes, shoes, etc.

Beyond Four Walls' mission is to empower communities to overcome vulnerability, poverty, and dependency using participatory development methods.

You are very welcome to support us.

Please send your love gift to support this ministry (Tafadhali tuma sadaka yako ya upendo kuendeleza huduma hii). CRDB Bank: Account Name: Beyond Four Walls; Account Number: 0133621816400; Swift Code: CORUTZTZ

Tuendelee kuhamasika kutoa mitumba tuliyo nayo kwa ajili ya jamii

Leo tumepokea tena mito ya makochi kwa ajili ya huduma tunayofanya kwa jamii.

Ni baraka sana kuona kwamba vitu vyako ambavyo havina matumizi kwa sasa vinasaidia jamii.

Hata Watanzania tunaweza kuisaidia jamii yetu bila kuwa tegemezi wa misaada kutoka nje.

Tunakukaribisha na wewe utoe chochote ulicho nacho kwa ajili ya programu zetu kwa ajili ya jamii kama vile gari, kompyuta, fanicha, nguo, viatu nk

Dhima ya shirika letu la Beyond Four Walls ni kujengea uwezo jamii ishinde uhatarishi, umasikini na utegemezi kwa kutumia mbinu shirikishi za maendeleo.

Karibu sana utuunge mkono.

Dr. Lawi Mshana, Executive Director, Beyond Four Walls, Tanzania, +255712924234

Post a Comment

0 Comments