CONSEQUENCES
OF NOT HAVING A PLAN IN LIFE
(MADHARA
YA KUTOKUWA NA MPANGO KATIKA MAISHA)
1.
You will not know whether you have made a profit or loss
2.
You will not be able to have priorities
3.
You will not attract anyone to help you
4.
You will have many unfinished tasks
5.
You will run out of money before you finish your activities.
6.
You will make impulse purchases – no window shopping
7.
You will have many valuable things not used for profit.
MADHARA
YA KUTOKUWA NA MPANGO KATIKA MAISHA
1.
Hutajua umepata faida au hasara
2.
Hutaweza kuwa na vipaumbele (priorities)
3.
Hutavutia mtu kukusaidia
4.
Utakuwa na viporo vingi vya kazi (kazi ambazo hazijaisha)
5.
Pesa zitakuishia kabla hujamaliza shughuli zako.
6.
Utafanya manunuzi ya kukurupuka (impulse buying)
7.
Utakuwa na vitu vingi vya thamani ambavyo havitumiki kwa faida
Dr.
Lawi Mshana, Freelance Facilitator,
+255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)