Ticker

6/recent/ticker-posts

WELCOME TO OUR SPIRITUAL AND SOCIAL SERVICES CENTER (KARIBU KITUO CHETU CHA HUDUMA ZA KIROHO NA KIJAMII)




 WELCOME TO OUR SPIRITUAL AND SOCIAL SERVICES CENTER

(KARIBU KITUO CHETU CHA HUDUMA ZA KIROHO NA KIJAMII)

We have had a good missionary ministry in the Upareni mountains (Same district) specifically in Ntenga and Kighare villages and renovating our Community Empowerment Center.

Our center is used for spiritual and community-based services since the Lord Jesus did not bring religion to the world but the Kingdom of God. Therefore, this center is also used for community-based meetings as long as morals are observed such as not using alcohol and smoking. It is situated in a very quiet area and is near the road.

We had an opportunity to demolish satanic altars. Many people fail to possess their possessions because they do not care to tear down the demonic altars that existed before them. Satanic altars cannot fall on their own just because you are God-fearing. That is why many God-fearing people have difficult lives when they bear the Name above all names.

Lev 18:27 “'(for all these abominations the men of the land have done, who were before you, and thus the land is defiled),”

Deu 12:3 “"And you shall destroy their altars, break their sacred pillars, and burn their wooden images with fire; you shall cut down the carved images of their gods and destroy their names from that place.”

We warmly invite you to join us in this work of the Kingdom of God without religious discrimination.

Register so you can participate when we have a special ministry for the deliverance of our lives and families. You will not regret participating even if you have to travel from afar.

KARIBU KITUO CHETU CHA HUDUMA ZA KIROHO NA KIJAMII 

Tumekuwepo na huduma njema ya kimisheni katika milima ya Upareni (wilaya ya Same) katika Kijiji cha Ntenga na Kighare na kukarabati kituo chetu cha Kujengea uwezo jamii.

Hiki kituo chetu kinatumika kwa huduma za kiroho na kijamii kwa vile Bwana Yesu hakuleta dini duniani bali alileta Ufalme wa Mungu. Hivyo kituo hiki kinatumika pia kwa mikutano ya kijamii ili mradi maadili yazingatiwe kama vile kutotumia pombe na sigara. Ni kituo ambacho kiko mahali tulivu sana na karibu na barabara.  

Tulipata fursa ya kubomoa madhabahu za shetani. Watu wengi wanashindwa kumiliki kwa vile hawajali kubomoa madhabahu za shetani walizozikuta. Madhabahu haziwezi kubomoka zenyewe kwa vile tu u mcha Mungu. Ndiyo sababu wacha Mungu wengi wana maisha magumu ambayo hayaendani na Jina kuu walilolibeba.

Law 18:27 “(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)”

Kum 12:3 “nanyi zivunjeni madhabahu zao, zibomoeni nguzo zao, na maashera yao yateketezeni kwa moto, na sanamu za kuchonga za miungu yao zikateni; na jina lao lifutilieni mbali na mahali hapo.”

Karibu sana tushirikiane katika kazi hii ya Ufalme wa Mungu isiyo na ubaguzi wa kidini.

Jisajili ili uweze kushiriki tunapokuwa na huduma maalum ya ukombozi wa maisha binafsi na familia zetu. Hutajuta kushiriki hata kama utalazimika kusafiri kutoka mbali.

Dr. Lawi Mshana, 0712-924234, Tanzania

 

Post a Comment

0 Comments