Ticker

6/recent/ticker-posts

Satan wanted to destroy this student's dreams (Shetani alitaka kuharibu ndoto za huyu mwanafunzi)


 Video: Shetani alitaka kuharibu ndoto za huyu mwanafunzi

Satan wanted to destroy this student's dreams

Yesterday, during the Healing Clinic session, God wonderfully touched His people. One of them was this girl. The witches sought to prevent her from attending school, but the Lord Jesus set her free. Let us give Him praise and thanks for His great works.

Shetani alitaka kuharibu ndoto za huyu mwanafunzi

Jana katika kipindi cha Kliniki ya Uponyaji, Mungu aligusa maisha ya watu wake kwa jinsi ya ajabu. Mmojawapo ni huyu binti. Wachawi walitaka kumzuia asiende shule, lakini Bwana Yesu alimuweka huru. Tumpe Mungu sifa na shukrani kwa matendo yake makuu.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments