Video: KANUNI ZA KUWA NA MAENDELEO BINAFSI
PRINCIPLES OF
PERSONAL DEVELOPMENT
(KANUNI ZA KUWA NA
MAENDELEO BINAFSI)
Personal Development is planning
your life by reflecting on fundamental questions in life, such as:
·
What do I want to accomplish in life?
·
What kind of person do I want to be?
·
Do I know my personal goals well?
·
Am I making the right decisions to get where I
want to be?
·
Am I in control of my life or am I just hoping
that I will succeed?
KANUNI ZA KUWA NA
MAENDELEO BINAFSI
Maendeleo ya Kibinafsi ni
kujipanga katika maisha kwa kutafakari maswali ya msingi katika maisha, kama
vile:
·
Ninataka kutimiza nini hasa katika maisha?
·
Ninataka kuwa mtu wa aina gani?
·
Je, ninajua vizuri malengo yangu ya kibinafsi?
·
Je, ninafanya maamuzi sahihi ili nifike pale
hasa ninapotaka kuwa?
·
Je, ninasimamia maisha yangu au nina matumaini
tu kwamba nitafanikiwa?
Dr. Lawi Mshana, 0712924234,
Freelance Facilitator, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)