[Maombezi LIVE: Mateka wanahitaji
uhuru (kurudishwa)]
Some people are in the devil's pits and prisons and cannot
get out on their own. They need God's help.
Isa 42:22 “But this is a people robbed and plundered; All
of them are snared in holes, And they are hidden in prison houses; They are for
prey, and no one delivers; For plunder, and no one says, "Restore!"“
One of the tasks that brought the Lord Jesus to earth was to
proclaim liberty to the captives and to release those who were in the prisons
of the devil.
Isa 61:1 “"The Spirit of the Lord GOD is upon Me,
Because the LORD has anointed Me To preach good tidings to the poor; He has
sent Me to heal the brokenhearted, To proclaim liberty to the captives, And the
opening of the prison to those who are bound.”
We have prayed for:
1. Reviving destinies buried in the grave
2. Dispelling from demons
3. Bringing back stolen customers and donors.
NB: Watch the video and join the intercessory prayer sessions
at 9.00 pm.
[Maombezi LIVE: Mateka wanahitaji
uhuru (kurudishwa)]
Kuna watu wako katika mashimo na magereza ya shetani hivyo
hawawezi kutoka wenyewe. Wanahitaji msaada wa Mungu
Isaya 42:22 “Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na
kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa
mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.”
Moja ya kazi iliyomleta Bwana Yesu duniani ni kuwatangazia mateka
uhuru wao na kuwafungua watu ambao wako katika magereza ya shetani.
Isa 61:1 “1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu
Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili
kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa
(gerezani) habari za kufunguliwa kwao.”
Tumeomba kwa ajili ya:
1.
Kufufua hatima zilizozikwa kaburini
2. Kutowesha ndoto kutoka kwa mapepo
3. Kuwarudisha wateja na wafadhili walioibwa.
NB: Tazama hiyo video na kushiriki vipindi vya maombezi
mbashara saa 3.00 usiku.
Dr. Lawi Mshana, 0712-924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)