Ticker

6/recent/ticker-posts

KARIBU MAOMBEZI NTENGA NA KIGHARE, SAME, KILIMANJARO


 Video: Mwaliko wa maombezi Ntenga na Kighare, Same

KARIBU MAOMBEZI NTENGA NA KIGHARE, SAME, KILIMANJARO

Tupo katika milima ya Upareni kuanzia leo Jumatano hadi Jumapili (19-23/3/2025) kwa ajili ya maombezi yasiyo na mipaka yoyote ya kidini. Ibada ya maombezi itafanyika kuanzia saa 10 jioni katika kituo cha maombi cha TLMC karibu na nyumba ya mwalimu mkuu wa Ntenga sekondari.

Unayehitaji ushauri binafsi utapangiwa muda wa asubuhi.

Kwa huduma maombezi mbashara (LIVE) katika mtandao wa TikTok shiriki saa 3.00 usiku

Karibu sana na mjulishe ndugu yako.

Dr. Lawi Mshana, 0712-924234

Post a Comment

0 Comments