Ticker

6/recent/ticker-posts

HATIMAYE, TUNAANZA MAOMBEZI MBASHARA SAA 3:00 USIKU (FINALLY, WE START THE LIVE PRAYER SESSION AT 9:00 PM)


 Karibu: Karibu kipindi cha MAOMBEZI 'LIVE'

HATIMAYE, TUNAANZA MAOMBEZI MBASHARA SAA 3:00 USIKU

(FINALLY, WE START THE LIVE PRAYER SESSION AT 9:00 PM)

Those who want to participate in this prayer session are invited to https://www.tiktok.com/@lawimshana. Sign up and follow me to make it easier for you.

Please let me know in advance if you have a specific prayer request. You do not need to tell me your name, but let me know your need and where you are located so that we can pray specifically e.g. your district and country.

We will begin the prayer session at 9:00 pm and we will not take long.

HATIMAYE, TUNAANZA MAOMBEZI MBASHARA SAA 3:00 USIKU

Wewe ambaye unapenda kushiriki maombezi haya, unaalikwa TikTok. Jisajili na kuni-follow ili iwe rahisi kwako.

Nashauri unijulishe kabla kama una hitaji maalum la kuombea. Huna haja ya kunijulisha jina lako, ila nijulishe hitaji lako na mahali ulipo ili tuombe kwa shabaha k.v. wilaya na nchi yako.

Tunaanza kipindi cha maombi saa 3:00 usiku na hatutachukua muda mrefu.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments