Ticker

6/recent/ticker-posts

8. Follow the commands and instructions of God (Fuata maagizo na maelekezo ya Mungu)

Video: Na 8 Fuata maagizo na maelekezo ya Mungu

8. Follow the commands and instructions of God

(Fuata maagizo na maelekezo ya Mungu)

Obey the voice of God. Deut 28:15 “"But it shall come to pass, if you do not obey the voice of the LORD your God, to observe carefully all His commandments and His statutes which I command you today, that all these curses will come upon you and overtake you.” If we want to be successful in life, we must obey God's voice. Even if your fellow believers do not know what God instructed you to do, curses will come and overtake you because you did not obey God's voice.

Please send your love gift to support this ministry. Account Name: Lawi E. Mshana; Account Number: 0152219784300; Bank: CRDB Bank; Swift Code: CORUTZTZ

Tii sauti ya Mungu. Kum 28:15 “Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.” Tukitaka mafanikio katika maisha yetu, lazima tutii sauti ya Mungu. Hata kama waumini wenzako hawajui jambo ambalo Mungu alikuagiza kufanya, laana zitakujia na kukupata kwa sababu hukuitii sauti ya Mungu.

Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

 

Post a Comment

0 Comments