Ticker

6/recent/ticker-posts

6. Focus on your covenant with God (Zingatia agano lako na Mungu)


 Video: Na 6 Zingatia agano lako na Mungu

6. Focus on your covenant with God

(Zingatia agano lako na Mungu)

Rev 3:8 “"I know your works. See, I have set before you an open door, and no one can shut it; for you have a little strength, have kept My word, and have not denied My name.” Each church was given its unique message and promise. Even you, God has a special covenant with you. Do not get involved in agreements or covenants of God with other people. There may be a door open for you somewhere. No one can close that door because God opened it for you.

Ufu 3:8 “Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.” Kila kanisa lilipewa ujumbe wake maalum na ahadi tofauti na jingine. Hata wewe pia Mungu ana agano maalum na wewe. Usipende kujiingiza kwenye mapatano au maagano ya Mungu na watu wengine. Inawezekana hata wewe kuna mlango uliofunguliwa kwa ajili yako mahali fulani.  Hakuna mtu anaweza kuufunga mlango huo kwa vile ni Mungu aliyekufungulia.

Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments