Ticker

6/recent/ticker-posts

POKEA BARAKA ZAKO ZA MWAKA MPYA (video)



 VIDEO: POKEA BARAKA ZAKO ZA MWAKA MPYA

POKEA BARAKA ZAKO ZA MWAKA MPYA

Mungu anataka kufanya mambo mapya katika maisha yako mwaka huu. Naomba Mungu akupe mwanzo mpya, akufungulie milango mikubwa, fursa mpya ambazo ulikuwa hujaziona zifunguke mbele yako na aachilie baraka na upenyo wa kipekee katika maisha yako ya kiroho, kihuduma na kijamii, na akupe marafiki wapya wanaoaminika zaidi wa kukusaidia kwenda hatua nyingine zaidi katika maisha yako.

Sikiliza wimbo wa kwaya yetu ya Golgotha Singers wa kumshukuru Mungu.

Dr. Lawi Mshana, +255712924234, Korogwe, Tanga, Tanzania

Post a Comment

0 Comments