Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 31: Self-underestimation and self-pity are not humility. (Kujidharau na kujisikitikia sio unyenyekevu)


 Video: Na 31 Kujidharau na kujisikitikia sio unyenyekevu

Maisha bora Na 31: Self-underestimation and self-pity are not humility. 

(Kujidharau na kujisikitikia sio unyenyekevu)

Some people see themselves as millipedes thinking it is humility before God. Nu 13:33 “"There we saw the giants (the descendants of Anak came from the giants); and we were like grasshoppers in our own sight, and so we were in their sight."” Instead, you should say good things to yourself even if you don't see them. Predict success in your life. Realize your worth to God.

Kuna watu wanajiona kama jongoo wakidhani ni unyenyekevu mbele za Mungu. Hesabu 13:33 “Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.” Badala yake, unatakiwa ujitamkie mema hata kama huyaoni. Jitabirie mafanikio katika maisha yako. Tambua thamani yako kwa Mungu.

Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments