Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 28: Some cartoons are about sex and murder. So we have to examine them. (Katuni zingine ni za ngono na mauaji. Hivyo tuzichunguze.)


Video:  Na 28 Katuni zingine ni za ngono na mauaji. Hivyo tuzichunguze.

Maisha bora Na 28: Some cartoons are about sex and murder. So we have to examine them. (Katuni zingine ni za ngono na mauaji. Hivyo tuzichunguze.)

Parents should learn to watch cartoons whether they are appropriate before allowing their children to watch them. Some cartoons are harmful to children because they teach about murder, sex, and witchcraft. Bad enough, cartoons with bad morals are even shown on buses.

Wazazi tujifunze kuangalia kwanza katuni kama zina maadili mazuri kabla ya kuwapatia watoto wetu. Baadhi ya katuni zina madhara kwa watoto kwa vile zinafundisha kuhusu mauaji, ngono na uchawi. Kibaya zaidi, katuni zenye maadili mabaya zinaonyeshwa mpaka kwenye mabasi.

Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania


 

Post a Comment

0 Comments