Video: Unajua kwanini wahalifu wanapenda kuwalawiti wasichana?
Maisha bora Na 25: Do you know why perpetrators prefer anal sex with girls to vaginal sex?(Unajua kwanini wahalifu wanapenda kuwalawiti wasichana?)
This time, we should not only check pregnancy tests for girls. We should check the way the girl walks because children also experience anal rape. Even close relatives are also accused of raping girls. Perpetrators like to do anal rape because they want to avoid impregnating these girls. The challenge we have is that if a child gets used to being raped, she fails to stop that habit because she feels itchy. So they need prayers and treatment to stop that bad habit.
Kwa sasa tusikague ujauzito peke yake kwa wasichana. Tukague pia namna mtoto anavyotembea kwa vile watoto wanalawitiwa. Tena wanalawitiwa na ndugu wa karibu. Wahalifu wanapenda kulawiti wasichana kwa vile wanataka kuepuka kuwapa mimba. Changamoto tuliyo nayo ni kwamba mtoto akizoea kulawitiwa anashindwa kuacha kwa vile anawashwa. Hivyo wanahitaji maombezi na matibabu ili waweze kuacha tabia hiyo mbaya.
Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)