Video: Na 22: Jifunze kuona mazuri ya mwenzi wako ndipo mabadiliko yatatokea
Maisha bora Na 22: Jifunze kuona mazuri ya mwenzi wako ndipo mabadiliko yatatokea (Be the change you wish to see in your life partner)
Learn to speak blessing over your marriage. Even if you see marriages breaking up, keep telling your marriage that it will be successful. Have a positive attitude about your marriage. Learn to see the good in your husband even if he has problems. Even a man should look for the good things in his wife and show her appreciation instead of focusing on her shortcomings. We have to overcome evil with good. Romans 12:21 “Do not be overcome by evil, but overcome evil with good.”
Jifunze kuitabiria mema ndoa yako. Hata kama unaona ndoa zikivunjika, endelea kuinenea mema ndoa yako kwamba itafanikiwa. Uwe na mtazamo chanya kuhusu ndoa yako. Jifunze kuona mazuri ya mume wako hata kama ana matatizo. Hata wanaume tutafute mazuri ya wake zetu na kupongeza badala ya kujikita katika mapungufu yao. Tuushinde ubaya kwa wema. Warumi 12:21 “Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.”
Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)