Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 20: Shetani anakupiga kirahisi kwa vile huna watu waaminifu wa kuomba nao (Satan hits you easily because you don't have honest people to pray with)


 Video: Na 20: Shetani anakupiga kirahisi kwa vile huna watu waaminifu wa kuomba nao

Maisha bora Na 20: Shetani anakupiga kirahisi kwa vile huna watu waaminifu wa kuomba nao (Satan hits you easily because you don't have honest people to pray with)

Realize that you cannot be alone without the company of your prayer partners. Even the scriptures emphasize the importance of being a team in prayer. Matthew 18:20 "For where two or three are gathered in my name, there am I in the midst of them." Let Satan see that you have your brothers and sisters in spiritual warfare. 1 Peter 5:8 "Be sober, be watchful. Your adversary the devil prowls around like a roaring lion, seeking some one to devour.” Discover the secret of collective prayer. Its power increases by 10 times for each person who joins the team. Deut 32:30 "How should one chase a thousand, and two put ten thousand to flight, unless their Rock had sold them, and the LORD had given them up?”

However, identify the right people to pray with and not involve the whole church in everything.

Tambua kwamba peke yako huwezi bila ushirika wa wenzako. Hata maandiko yanasisitiza umuhimu wa kuwa timu katika maombi. Mathayo 18:20 “Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.” Shetani akuone kwamba una ndugu zako katika vita vya kiroho. 1 Petro 5:8 “Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.” Tambua siri ya maombi ya pamoja. Nguvu yake inaongezeka mara 10 kwa kila anayeongezeka kwenye timu. Kum 32:30 “Mmoja angefukuzaje watu elfu, Wawili wangekimbizaje elfu kumi, Kama Mwamba wao asingaliwauza, Kama Bwana asingaliwatoa?”

Hata hivyo tambua watu sahihi wa kuomba nao na sio kushirikisha kanisa zima kwa kila jambo.

Bofya VIDEO usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments