Video: Na 18: Unajua uhatarishi uliopo kwenye mikesha?
Maisha bora Na 18: Unajua uhatarishi uliopo kwenye mikesha?
Mara nyingi tunapopanga mikesha hatufikirii kuhusu uhatarishi wa washiriki. Msichana anaweza kulazimika kusindikizwa na mvulana saa nne usiku wakati wa kuja mkesha au saa 10 wakati wa kurudi nyumbani.
Bofya video usikilize ujumbe huu utajifunza kuhusu kijana aliyemsindikiza msichana mara kwa mara mpaka wakawa wapenzi.
Viongozi tunaweza tukasababisha watu watende dhambi bila kujua au kukusudia.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public
Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)