Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 17: Ni kosa kujali huduma za kiroho na kusahau majukumu ya kifamilia


 Video: Na 17: Ni kosa kujali huduma za kiroho na kusahau majukumu ya kifamilia

Maisha bora Na 17: Ni kosa kujali huduma za kiroho na kusahau majukumu ya kifamilia

Kuna waumini wengine wanajali kutumika vizuri kanisani lakini nyumbani hawajali kutoa huduma bora. Mtu anaweza kujali sana usafi wa kanisani lakini nyumbani hataki kuoga. Mtu anapotaka KUPENDWA ajitahidi KUPENDEZA. Kama kanisa tujali pia mipango ya familia za waumini na kuiheshimu.

Bofya usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments