Video: Na 16: Unajua hatari ya kumjali zaidi kiongozi wa dini kuliko mwenzi wako wa maisha?
Maisha bora Na 16: Unajua hatari ya kumjali zaidi kiongozi wa dini kuliko mwenzi wako wa maisha?
Kanisani ni mahali pa kupokea maarifa ili tukayatekeleze nyumbani. Tunahitaji kutumia busara tunapohusiana na viongozi wetu wa dini ili wenzi wetu wa maisha wasiwe na maswali. Mchungaji, nabii au Askofu anahitaji kuheshimiwa lakini sio kuabudiwa.
Sikiliza ushuhuda wa muumini aliyemjali mchungaji kuliko mume wake na kilichotokea.
Bofya video usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)