Video: Na 14: Tambua uwezo wa kipekee wa mwanamke ambao mwanaume hana
Maisha bora Na 14: Tambua uwezo wa kipekee wa mwanamke ambao mwanaume hana
Mwanamke amepewa uwezo mkubwa sana wa
kiulinzi ukiacha uwezo wa kubeba mimba na kunyonyesha watoto.
1. Mwanamke amepewa uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja (multi-tasking). Wanaume wamepewa zaidi uwezo wa kufanya kazi moja iishe ndipo wafanye nyingine. Hata hivyo kuna mambo mengine katika maisha yanahitaji uwezo wa mwanaume wa kufanya jambo moja likamilike kabla ya kuhamia jingine.
2. Mwanamke amepewa uwezo wa kutambua hatari iliyoko mbele bila kufikiria kwa akili yake (intuition). Ukimuuliza akupe sababu anaweza kushindwa kukupa kwa vile alijisikia moyoni na sio kwenye akili yake.
Bofya usikilize ujumbe utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)