Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 12: Kwanini unaweza kutapeliwa na mpendwa?


 Video: Na 12: Kwanini unaweza kutapeliwa na mpendwa?

Maisha bora Na 12: Kwanini unaweza kutapeliwa na mpendwa?

Sio lazima mpendwa unayefanya naye maombi awe mwaminifu kwenye pesa au kufanya naye mradi wa kiuchumi. Anaweza kuwa mzuri kiroho na wakati huohuo ana udhaifu katika masuala mengine ya kimaisha. Mkristo anaweza kuwa na uwezo fulani na wakati huohuo awe na udhaifu pia. Shirikiana na mpendwa kwa kuzingatia maeneo ambayo ana uwezo. Uwezo wake katika eneo fulani usikupofushe macho ukadhani anafaa kushirikiana naye katika maeneo yote.

Bofya usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments