Video: Na 11: Fahamu maadui wakuu watatu wa maisha yako
Maisha bora Na 11: Fahamu maadui wakuu watatu wa maisha yako
Kuna maadui wakuu watatu wa maisha yako. Namba 1 ni shetani, namba 2 ni mwili na namba 3 ni dunia. Kuna matatizo ambayo hayatokani na shetani. Wakati mwingine tunamsingizia tu.
Mwili wako unatosha kukufanya utende dhambi. Mtume Paulo alitambua mwili kama adui mkubwa. Warumi 7:24 “Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?”
Jiulize swali: Wazinzi wengi wanapenda kumlaumu shetani wanapoanguka. Lakini swali la kujiuliza ni Je, kuna siku mzinzi amewahi kuvuliwa nguo na shetani?
Bofya usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)