Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 10: Unajua maana ya wanandoa kuwa mwili mmoja?


 Video: Na 10: Unajua maana ya wanandoa kuwa mwili mmoja?

Maisha bora Na 10: Unajua maana ya wanandoa kuwa mwili mmoja?

Kuwa mwili mmoja ni kuwa na maono ya pamoja. Ndiyo maana maandiko hayasemi wanandoa watakuwa roho mmoja bali mwili mmoja. Mwa 2:24 “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.” Kwa hiyo wanandoa wasiwe na maono ya pamoja ya kiroho peke yake. Watoto washirikishwe pia kutoa mawazo yao badala ya kulazimishwa kuyakubali maono ya wazazi peke yake. Watoto wanajisikia vizuri wanapoona mawazo yao yanaheshimiwa.

Bofya usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments