Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 9: Ndoa bora ni kujaliana na sio kuishi kwa kuvumiliana tu


 Video: Na 9: Ndoa bora ni kujaliana na sio kuishi kwa kuvumiliana tu

Maisha bora Na 9: Ndoa bora ni kujaliana na sio kuishi kwa kuvumiliana tu

Wanandoa wasiishi kwa kuvumiliana tu bali kila mmoja aweze kumwambia mwenzake lolote bila kuogopa kwamba atamkwaza. Mwanandoa akishindwa kuwa huru kwa mwenzake anaweza kuhamia kwenye migahawa. Kwa bahati mbaya anaweza kupokelewa vizuri zaidi migahawani kuliko nyumbani kwake.

Wanandoa wajione wako salama katika ndoa zao kuliko kwa marafiki zao.

Bofya usikilize ujumbe huu utaelewa zaidi.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments