Video: Na 8: Unajua mnaweza kuwa wanandoa na bado hamjawa mwili mmoja?
Maisha bora Na 8: Unajua mnaweza kuwa wanandoa na bado hamjawa mwili mmoja?
Mwa 2:24 – Jambo la tatu muhimu sana katika ndoa ni ‘kuwa mwili mmoja’. Ndoa ni mchakato na sio tukio la kufunga ndoa peke yake. Lazima wanandoa wapate muda wa kutambua ni vitu gani wanaweza kuvifanya kwa pamoja.
Familia nzima ishirikishwe katika mipango ya familia. Mwenzi anathamini zawadi anazopewa, kama hahisi kwamba kuna mahitaji yake yanayopuuzwa.
Ili wanandoa wawe mwili mmoja wanatakiwa
kufahamiana na kila mmoja kutambua vipaumbele vya mwenzake.
Sikiliza kwa sauti ujifunze zaidi.
Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator
& Public Speaker, +255712924234, Tanzania
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)