Ticker

6/recent/ticker-posts

Maisha bora Na 2: Bila Roho Mtakatifu hatuwezi kushinda


 Video: Na 2:Bila Roho Mtakatifu hatuwezi kushinda

Maisha bora Na 2: Bila Roho Mtakatifu hatuwezi kushinda

1 Kor 15: 45 “Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.”

Unatakiwa kujua tofauti ya Adamu wa kwanza na Adamu wa mwisho.  Adamu wa kwanza ni kiumbe chenye pumzi ya Mungu (living being) wakati Adamu wa mwisho ni Roho itiayo uzima (life-giving Spirit).

Bwana Yesu amekuja kututia nguvu na uwezo wa kuishi kama vile tumetoka mbinguni. Kuwa na pumzi kama Adamu wa kwanza hakutoshi kukupa ushindi. Unahitaji kupewa maisha mapya na Bwana Yesu ndipo utaweza kushinda changamoto zote unazokabiliana nazo.

Dr. Lawi Mshana, Freelance Facilitator & Public Speaker, +255712924234, Tanzania

Post a Comment

0 Comments