Unawezaje kuthibitisha uhalisia wa Imani yako kwa Mungu? (Swahili video)
Unapataje
uhakika kwamba imani yako ni ya kweli? Imani yako inakufanyia mambo gani? Una
tofauti gani na mtu asiyeamini? Unajua maisha yako yana uhusiano wa karibu na
kiwango cha Imani yako?
How can you validate the authenticity of your faith in God? (English video)
How do you get confidence that your faith is genuine? What tangible results do you get from your faith? How are you different from unbelievers? Do you know that your life is closely related to the level of your faith? Watch this video and put this message into practice.
0 Comments
Karibu sana na ujisikie huru kushirikisha mawazo yako au kuuliza swali tujifunze pamoja (Welcome and feel free to share your thoughts or ask questions so we can learn together)