Ticker

6/recent/ticker-posts

Karibu kwa ajili ya huduma za kijamii


Tunatoa huduma za jamii kupitia shirika la Beyond Four Walls (BFW) tukishirikiana na wadau mbalimbali bila ubaguzi wa aina yoyote. Kwa sasa tunalenga vijana (adolescents and youth) kupitia programu inayoitwa Nitatoboa (I'll make it). Shabaha yetu kuu ni kuwajengea uwezo kuhusu afya ya uzazi, teknolojia na uwezeshaji kiuchumi (economic empowerment).

 

Post a Comment

0 Comments