Ticker

6/recent/ticker-posts

Dr Lawi Mshana Anakukaribisha

Napenda kukukaribisha katika blog hii ambayo inajumuisha huduma za kijamii na kiroho. Kuna wakati tunahitaji kujengewa uwezo kijamii na wakati mwingine tunahitaji kujengwa kiroho. Blog hii inalenga kugusa mahitaji ya mwanadamu bila ubaguzi wa aina yoyote.

Karibu sana na Mungu akutane na haja ya moyo wako.

Post a Comment

0 Comments